• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
NANYAMBA TOWN COUNCIL
NANYAMBA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Nanyamba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya MSM
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
        • katiba
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliagi na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Mazingira na Usafi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Elimu
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Michezo na Burudani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Sheria
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba
      • Maktaba ya picha
      • Maktaba ya video
    • Habari
    • Matukio

Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji


MGAWANYO WA KAZI KATIKA IDARA YA MIPANGO 

                                              

NA

JINA

UTAMBULISHO

KAZI ANAZOFANYA

1.
CYRUS  KAPINGA
AFISA MIPANGO  
1.Mkuu wa Idara ya Mipango
2. Mratibu wa Miradi ya Maendeleo ya:
Wananchi
Halmashauri
Wahisani
NGOs
Kusimamia maandalizi ya taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kipindi cha robo, nusu mwaka na mwaka mzima.
Kusimamia na kuhakikisha taarifa mbalimbali za Wilalya zinaandaliwa na zinatolewa kwa wakati.
Kusimamia maandalizi ya Hali halisi ya Mji (District Profile),na kuihuisha mara kwa mara.
Kusimamia maandalizi ya bajeti na mipango
Kusimamia utekelezaji na ufuatiliaji wa bajeti na mipango kwa kufuata sheria za fedha
Kusimamia maandalizi ya mpango na taarifa za utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM.
Kusimamia utekelezaji wa miradi ya jamii (O & OD)
Kusimamia maandalizi ya Mpango kazi (Action Plan) na kusimamia utekelezaji wake
 Kusimamia ukusanyaji wa takwimu mbalimbali za Mji.
Mratibu wa shughuli programu za UNICEF
Kuratibu utekelezaji wa sera na miongozo mbalimbali
Kutoa ushauri katika utekelezaji wa programu mbalimbali za maendeleo
Kuratibu maandalizi ya maandiko  ya miradi
Kufanya kazi nyingine atakazokuwa amepangiwa na Mkurugenzi  Mtendaji
2.
Sylivester N. Ngonyani
MCHUMI DARAJA I
Kuratibu maandalizi ya  mipango na Bajeti ya               Idara ya Elimu,kilimo    na shughuli za UNICEF
Kuandaa  Ratiba ya kazi (Action Plan) kwa
miradi ya maendeleo kwa Idara za Elimu,
Maji,  na shughuli za UNICEF na kusimamia utekelezaji wake
Kufuatilia utekelezaji wa miradi kwa kukagua na
kufanyia tathimini ya miradi ya maendeleo kwa
Idara za Elimu, kilimo,Maji na programu za UNICEF
Kusimamia uandaaji wa taarifa za utekelezaji za robo nusu mwaka za Elimu,kilimo, Maji na UNICEF programu
Kwa kushirikiana na Mratibu kuandaa na     kufuatilia  utekelezaji wa mpango Shirikishi (O & O D).
Kusimamia uandaaji wa taarifa mbalimbali za Idara za Elimu, Maji na Programu za UNICEF
Kuandaa  mpango na taarifa za utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM.
Kuaandaa maandiko ya miradi
Kuandaa risala taarifa fupi na hotuba kwa ajili ya ugeni/ sikukuu za Kitaifa
Kuratibu shughuli za Maafa
Kusimamia mwenendo wa mapokezi na  matumizi ya sekta za Kilimo ,Maji,na Unicef na kutoa taarifa kila mwezi
Kuandaa na kuratibu mwenendo wa utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Mji (Council strategic plans).
Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Afisa Mipango  Mji
3.
Adam Joseph 
MCHUMI DARAJA II
Kuandaa mpango na bajeti ya Afya,Mipango Mjamii na Ukimwi na maji,
Kuandaa ratiba ya kazi (Action Plan) kwa miradi ya maendeleo kwa Idara za Afya,Mipango Mjamii na Ukimwi,
Kufuatilia utekelezaji wa miradi kwa kukagua na kufanya tathimini ya miradi ya maendeleo   kwa Idara za Afya ,Mipango Mjamii na Ukimwi,
Kusimamia uandaaji wa taarifa za utekelezaji za  robo nusu mwaka za Idara ya Afya,Mipango Mjamii na Ukimwi,
Kusimamia maandalizi ya LAAC Kwa ushirikiano na wachumi wenzako
Kusimamia utekelezaji na mapitio ya fedha za LGCDG na utekelezaji wake,uratibu wa mchakato wa assesment.
Kusimamia uandaaji wa taarifa mbalimbali za Idara za Kilimo, Mipango(CDG,LGDG,CBG) UKIMWI na Mjamii.
Kuandaa na kuratibu taarifa za NGOs zilizopo Mjini
Kuandaa maandiko ya miradi
Kutoa ushauri kuhusu upangaji wa mipango na bajeti katika muda wa kati na muda mrefu
Kuanisha vipaumbele vya Mji na kuratibu maandalizi ya mipango na bajeti.
Kusimamia mwenendo wa mapokezi na matumiziya sekta za Afya Mipango(CDG,LGDG,CBG),UKIMWI./Mjamii na kutoa taarifa kila mwezi
Kushiriki kuratibu na kusimamia mfuko wa jimbo la makete
Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Afisa Mipango Mji
4
Peter  Mnali
MCHUMI DARAJA II 
Kuratibu maandalizi ya  mipango na bajeti ya Halmashauri sekta za Maji, Ujenzi, Maliasili na kusimamia utekelezaji wake
Kushirikiana na Wachumi kuchambua takwimu    na taarifa mbalimbali za Kiuchumi na kijamii   (LGMD)
Kusimamia katika kuandaa taarifa za utekelezaji  miradi ya Idara ya  Maji, Ujenzi, Maliasili,   Utumishi
Kushiriki katika ukusanyaji wa takwimu mbalimbali
Kushiriki katika kuandaa ratiba ya kazi (Action Plan) ya Maji, Ujenzi, Maliasili
Kuanisha vipaumbele vya maendeleo Mjini
Kuratibu utekelezaji wa Dira ya Taifa ya 2025
Kuandaa maandiko  ya miradi
Kushughulikia masuala/ taarifa za maafa
Kusimamia mwenendo wa matumizi ya idara za Maji,Ujenzi, Maiasili ,Ardhi , na Mazingira.kwa fedha za maendeleo na kutoa taarifa kila mwezi
Kushirikiana na Mchumi 1 kuandaa risala taarifa fupi na hotuba kwa ajili ya ugeni sikuu za Kitaifa
kuratibu shughuli za UNICEF
Kuandaa taarifa ya hali Halisi ya Mji (District Profile)
Kuwa mratibu wa O & OD Mji
Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Afisa Mipango .

 

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO October 07, 2022
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA November 23, 2022
  • Fungua zote

Habari Mpya

  • KIMBILIO CHAKI

    November 23, 2022
  • VIJIJI VYA HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA VYANUFAIKA NA MRADI WA KUKU

    January 07, 2021
  • UZINDUZI WA BARAZA LA WAZEE WA HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA

    December 24, 2020
  • NANYAMBA SAFI

    November 25, 2020
  • Fungua zote

Video

Video zinginezo

Kurasa za karibu

  • Kupata Salary slip
  • Renovation of 17 AMREF Water Projects
  • Uuzaji wa Viwanja
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KATIKA SHULE MBALIMBALI ZA SEKONDARI-HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA 2022/2023

Kurasa Mashuhuri

  • Government Portal
  • PO - RAG
  • State House Website
  • Public Services Recruitment Secretariet
  • Tanzania Government Portal
  • Public Services Website

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahala

Wasiliana nasi

    NANYAMBA, MTWARA.

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,

    Simu: +255

    Simu:

    Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.