Hakuna madai yatakayotolewa kuhusu usahihi au uhalali wa maudhui ya tovuti hii. Halmashauri ya Mji Nanyamba haitakubali dhima yoyote kwa mtu yeyoye kwa taarifa au ushauri unaotolewa kwenye tovuti hii au kushirikishwa kwenye tovuti hii kwa marejeo.
Taarifa iliyomo kwenye tovuti ya Halmashauri ya Mji Nanyamba haipaswi kuonyeshwa isipokuwa katika mfumo kamili wa kuonesha (sklini).
Halmashauri ya Mji Nanyamba inaweza kuwaunganisha na wavuti za tovuti za nje zilizo za serikali au zisizo za serikali (Tovuti za mtumiaji watatu) isipokuwa pale itakapoelekezwa vinginevyo:
Haishirikishwi au kuhusishwa na mmiliki au mwendeshaji wa tovuti ya mtumiaji wa tatu; na
Kama una maswali yoyote kuhusu maudhui yaliyomo kwenye tovuti ya Halmashauri ya Mji Nanyamba, tafadhali wasiliana na nasi.
www.nanyambatc.go.tz
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.