SEKTA YA ELIMU.
ELIMU MSINGI.
Halmashauri ya Mji Nanyamba ina shule za msingi 63 na shule tarajali 2. Idadi ya wanafunzi ni 25,979 wakiwemo wavulana 12,862 na wasichana 13,117. Idadi ya walimu ni 395 wakiwemo wanaume 287 na wanawake 108. Kulingana na idadi ya wanafunzi 25,979 tunahitaji walimu 650 hivyo tuna upungufu wa walimu 255.
Idadi ya wanafunzi na walimu wa Shule za Msingi.
Idadi ya Wanafunzi
|
Jumla
|
Idadi ya Walimu
|
Upungufu
|
||
Wav
|
Was
|
Mah.
|
Waliopo
|
|
|
12,862 |
13,117 |
25,979 |
650 |
395 |
255 |
Madarasa |
Nyumba za Walimu
|
Madawati |
|
|||||||
|
||||||||||
Mahitaji
|
Yaliyopo
|
Upungufu
|
Mahitaji
|
Zilizopo
|
Upungufu
|
Mahitaji
|
Zilizopo
|
Upungufu
|
|
|
572 |
392 |
180 |
512 |
118 |
394 |
8659 |
8702 |
+43 |
|
|
1864 |
1090 |
774 |
1714 |
303 |
1411 |
25737 |
25526 |
211 |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Matundu ya Vyoo |
|||||
Walimu |
Wanafunzi |
||||
Mahitaji
|
Vilivyopo
|
Upungufu
|
Mahitaji
|
Vilivyopo
|
Upungufu
|
130 |
22 |
108 |
953 |
632 |
321 |
326 |
122 |
204 |
3064 |
1667 |
1397 |
Matokeo ya mitihani ya shule za Msingi kwa kila Halmashauri
Darasa la Nne
|
Darasa la Saba
|
||||
Waliofanya
|
Waliofaulu
|
%
|
Waliofanya
|
Waliofaulu
|
%
|
2797
|
2461
|
90.7
|
2376
|
1750
|
73.7
|
9,196
|
8,391
|
91.2
|
7,617
|
5,457
|
71.6
|
Halmashauri ya Mji Nanyamba kupitia idara ya Elimu Msingi inaendelea na utekelezaji ujenzi wa miundombinu mbalimbali ikiwemo ujenzi wa madarasa, nyumba za walimu na matundu ya vyoo. Miradi hii ipo kwenye hatua mbalimbali za utekelezaji kama inavyoonekana kwenye jedwali hapa chini.
Miradi inayotekelezwa sekta ya elimu msingi
Jina la Mradi
|
Fedha Tengwa
|
Fedha Tolewa
|
Fedha Tumika
|
Utekelezaji
|
Ujenzi wa madarasa 3 S/Msingi CHIWILO
|
60,0000,000
|
60,0000,000
|
2,450,000.00
|
Hadi sasa tofali 1190 zimefyatuliwa na ujenzi upohatua ya msingi.
|
Ujenzi wa matundu 4 ya vyoo S/Msingi Chiwilo.
|
6,600,000
|
6,600,000
|
350,000.00
|
Uchimbaji wa shimo na ufyatuaji wa tofali unaendelea na tofali 420 zimefyatuliwa.
|
Ujenzi wa madarasa 4 S/Msingi Mikumbi
|
60,000,000
|
60,000,000
|
6,110,000.00
|
Hadi sasa tofali 1650 zimefyatuliwa na upo hatua ya msingi.
|
Ujenzi wa matundu 4 ya vyoo S/Msingi Mikumbi
|
6,600,000
|
6,600,000
|
350,000.00
|
Uchimbaji wa shimo na ufyatuaji wa tofali unaendelea, tofali 370.
|
Ujenzi wa Uzio na jiko shule ya msingi Dinyecha
|
10,000,000
|
10,000,000
|
3,000,000.00
|
Kazi imeanza na tofali 450 zimefyatuliwa katika eneo la ujenzi.
|
Ujenzi miundombinu ya madarasa kwa kila kata kwa fedha za Mfuko wa Elimu katika kata 15
|
153,000,000
|
153,000,000
|
0.00
|
Kila kata imepata Tsh. 9,000,000.00 fedha zimepelekwa katika akaunti za shule husika, utekelezaji upo hatua mbalimbali.
|
Halmashauri ya Mji Nanyamba ina jumla ya shule za sekondari 10 ambazo zote ni za serikali zenye idadi ya wanafunzi 4,176 wakiwemo Wavulana 2050 na Wasichana 2126 na idadi ya walimu ni 215 wakiwemo Wanaume 165 na Wanawake 50.
Hali ya miundombinu katika shule za sekondari.
Hali ya miundombinu iliyopo, mahitaji na upungufu kwa kila aina ya miundombinu ni kama inavyoonekana katika jedwali hapo chini.
Miundombinu ya Shule.
NA
|
Miundo mbinu
|
Mahitaji |
Yaliyopo |
Upungufu |
1 |
Vyumba vya madarasa
|
113 |
98 |
15 |
2 |
Nyumba za walimu
|
215 |
50 |
165 |
3 |
Majengo ya utawala
|
10 |
5 |
5 |
4 |
Daharia (Hostel)
|
20 |
0 |
20 |
5 |
Matundu ya vyoo vya wanafunzi
|
164 |
96 |
68 |
Matundu ya vyoo vya walimu
|
20 |
24 |
4 |
|
6 |
Meza za wanafunzi
|
4176 |
3376 |
800 |
7 |
Viti vya wanafunzi
|
4176 |
3376 |
800 |
8 |
Mabweni
|
4 |
0 |
4 |
Halmashauri ya Mji Nanyamba inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali katika sekta ya Elimu Sekondari ikiwemo ujenzi wa madarasa, nyumba za walimu na matundu ya vyoo, miradi hii ipo kwenye hatua mbalimbali za utekelezaji kama inavyoonekana kwenye jedwali hapo chini.
Miradi ya maendeleo katika sekta ya elimu ya sekondari
Jina la Mradi
|
Fedha Tengwa
|
Fedha Tolewa
|
Fedha Tumika
|
Utekelezaji
|
Ujenzi wa madarasa 2 shule ya Sekondari Mtiniko
|
12,000,000 |
12,000,000 |
4,059,000 |
Ujenzi upo hatua ya msingi kwa madarasa yote mawili na ujenzi unaendelea, ufyatuaji wa matofali 3000 umekamilika.
|
Ujenzi wa darasa 1 shule ya Sekondari Mbembaleo
|
6,000,000 |
6,000,000 |
2,280,000. |
Ujenzi upo hatua ya msingi na ujenzi unaendelea, ufyatuaji wa matofali 1,500 umekamilika.
|
Ujenzi wa madarasa 2 Nitekela sekondari
|
12,000,000 |
12,000,000 |
3,250,000 |
Ujenzi upo hatua ya msingi na ujenzi unaendelea, ufyatuaji wa matofali 2,500 umekamilika
|
Ujenzi wa madarasa 2 Njengwa sekondari
|
12,000,000 |
12,000,000 |
1,680,000 |
Ununuzi wa vifaa vya ujenzi.
|
Ujenzi wa darasa 1 Mnima
|
6,000,000 |
6,000,000 |
1,600,000 |
Ufyatuaji wa matofali 1000 umekamilika.
|
Umaliziaji wa maabara 10
|
85,000,000 |
85,000,000 |
16,465,000 |
Mpango ni kumalizia ujenzi wa vyumba viwili vya maabara kwa kila shule. umaliziaji unaendelea katika hatua mbalimbali.
|
Ujenzi wa Bwalo na jiko katika shule ya sekondari Nanyamba.
|
60,000,000 |
60,000,000 |
5,750,000 |
Eneo limesafishwa, mchanga umekusanywa, mifuko 100 ya saruji, ufyatuaji wa matofali 6,200 tayari umeanza, Ujenzi upo hatua ya uchimbaji wa msingi.
|
|
|
|
|
|
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.