• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
NANYAMBA TOWN COUNCIL
NANYAMBA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Nanyamba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya MSM
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
        • katiba
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliagi na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Mazingira na Usafi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Elimu
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Michezo na Burudani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Sheria
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba
      • Maktaba ya picha
      • Maktaba ya video
    • Habari
    • Matukio

Historia

UTANGULIZI

Halmashauri ya Mji Nanyamba ilianzishwa rasmi mwezi Julai, 2015 kwa Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji) namba 8 ya mwaka 1982 kwa Tangazo la Serikali Namba 220 la tarehe 05/06/2015. Madhumuni halisi ya kuanzishwa Kwa Halmashauri ya Mji Nanyamba ni kusogeza karibu na wananchi huduma mbalimbali za kiuchumi na kijamii zikiwemo sekta za Maji, kilimo, Elimu, Barabara, Afya pamoja na kuboresha miundombinu iliyopo kwa manufaa ya wananchi wa Nanyamba.

MIPAKA

Halmashauri ya  Mji Nanyamba ni miongoni mwa Halmashauri tatu zilizo katika Wilaya ya Mtwara.  Kwa upande wa Kaskazini Mashariki inapakana na Halmashauri ya Wilaya Mtwara.  Magharibi inapakana na Wilaya ya Tandahimba na  Mkoa wa Lindi.  Kusini Nchi ya Msumbiji. Makao Makuu ya Halmashauri yapo katika kata ya Nanyamba, Jimbo la uchaguzi lipo moja la Nanyamba ,Tarafa 3 kata 17 vijiji 87 mitaa 9 na vitongoji 323.

ULINZI NA USALAMA

MAHAKAMA

Halmashauri ya Mji Nanyamba inatumia Mahakama   ya Wilaya ya Mtwara pamoja na Mahakama za Mwanzo mbili ambazo ni Nanyamba na Kitaya 

HALI YA UPATIKANAJI WA CHAKULA.

 Kwa kipindi hiki Wananchi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba wanaendelea na shughuli ya kilimo cha mazao ya muda mfupi kama njugu mawe, karanga, mpunga, mbaazi, mahindi, mtama, kunde, ufuta pamoja na maandalizi ya mashamba ya mikorosho hasa kwa kazi za upuluziaji wa dawa za magugu.

Aidha vyakula vya aina mbalimbali vinapatikana majumbani, kweye masoko na magengeni. Vyakula vya aina ya wanga vinavyopatikana ni pamoja na Mchele, Makopa (mihogo), Mahindi (sembe) na Mtama. Pia mboga za majani za aina mbalimbali zinapatikana zikiwemo bilinganya, bamia, matembele, mchicha, kisamvu (majani ya muhogo), chainizi na nyanya maji. Baadhi ya Matunda  kama nanasi na mastafeli yanapatikana.

HALI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA

Halmashauri ya Mji wa Nanyamba ina barabara zenye urefu wa km 498.85 kuna barabara za Mkoa zenye urefu wa Km. 82.8 na Barabara za Halmashauri ya Mji Nanyamba zenye urefu wa Km 416.05 hivyo kufanya Halmashauri ya Mji wa Nanyamba kuwa na barabara zenye urefu wa km 498.85 Mtandao Huu wa barabara ambao hupitika kipindi chote cha Mwaka.  Mtandao huu wa  barabara huwasaidia wananchi kusafiri na kusafirisha bidhaa zao kwa vyombo vya usafiri wa magari ya mizigo, mabasi, baiskeli na Pikipiki.

 HALI YA MASOKO NA HADHI ZAKE.

Shughuli za biashara (masoko) zinazopatikana au zinazoendelea ni pamoja na biashara za mazao mchanganyiko, Maduka rejereja, hivyo uwepo wa shughuli hizo umesababisha Halmashauri kupata mapato kupitia tozo mbalimbali kama kodi ya ushuru wa bidhaa, ushuru wa masoko na leseni za biashara.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO October 07, 2022
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA November 23, 2022
  • Fungua zote

Habari Mpya

  • KIMBILIO CHAKI

    November 23, 2022
  • VIJIJI VYA HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA VYANUFAIKA NA MRADI WA KUKU

    January 07, 2021
  • UZINDUZI WA BARAZA LA WAZEE WA HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA

    December 24, 2020
  • NANYAMBA SAFI

    November 25, 2020
  • Fungua zote

Video

Video zinginezo

Kurasa za karibu

  • Kupata Salary slip
  • Renovation of 17 AMREF Water Projects
  • Uuzaji wa Viwanja
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KATIKA SHULE MBALIMBALI ZA SEKONDARI-HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA 2022/2023

Kurasa Mashuhuri

  • Government Portal
  • PO - RAG
  • State House Website
  • Public Services Recruitment Secretariet
  • Tanzania Government Portal
  • Public Services Website

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahala

Wasiliana nasi

    NANYAMBA, MTWARA.

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,

    Simu: +255

    Simu:

    Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.