Sunday 8th, December 2024
@UKUMBI WA MIKUTANO WA HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba, Ndg. Thomas E. Mwailafu anawaalika wananchi wote kuhudhuria mkutano wa baraza la madiwani utakaofanyika tarehe 8 na 9 Februari 2024 katika ukumbi wa Halmashauri kuanzia saa nne kamili asubuhi.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.